Changu Chako, Chako Changu
Chimbuko la taifa la Israeli, Kenya na Ufaransa zakubaliana kukuza vipaji kuhusu uchoraji wa vibonzo
Imechapishwa:
Cheza - 20:33
Katika makala hii tumangazia chimbuko la taifa la Israeli, wakati katika utamaduni tumeangazia makubaliano yaliyoafikiwa kati ya Kenya na Ufaransa kupitia ubalozi wake ulioko jijini Nairobi kuhusu kukuza vipaji mbali mbali kuhusu uchoraji wa vibonzo, uteuzi wa DRC kuwa mwenyeji wa michuano ya Francophonie, na kumalizia na muziki