Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Washington yaweka vikwazo dhidi ya familia ya Gupta

media Verun Gupta (kushoto) na Ronica Ragovam, wawili wa watuhumiwa wanaohusishwa na uchunguzi wa madai ya ufisadi unaolenga familia ya Gupta, katika mahkama ya Bloemfontein Februari 14. CHARL DEVENISH / AFP

Marekani imeweka vikwazo dhidi ya familia tajiri ya Gupta, inayohusishwa kwa kashfa ya ufisadi nchini Afrika Kusini, Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza katika taarifa Alhamisi wiki hii.

Ajay, Atul na Rajesh Gupta, wanaoshtumiwa kuhusika "katika kashfa kubwa ya ufisadi na hongo ili kupata mikataba ya serikali" wamewekwa kwenye orodha nyeusi ya vikwazo.

Familia ya Gupta, ambayo ilikuwa na uhusiano wa karibu na rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma, inatuhumiwa "kuiba mamia ya mamilioni ya dola kupitia miradi haramu na serikali," Wizara ya Fedha ya Marekani imeaongeza.

Familia hiyo ya Gupta imekuwa kwenye shutuma za muda mrefu kuhusu kutumia urafiki wao na rais Jacob Zuma kujinufaisha kisiasa kwaajili ya manufaa ya biashara zao.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana