Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,yupo ziarani nchini Ubelgiji. Ni ziara yake ya kwanza barani Ulaya, baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa DRC mapema mwaka huu. Tshisekedi yupo nchini Ubelgji, kuhimiza ushirikano kati ya nchi hizo mbili, uhusiano ambao ulikuwa baridi wakati wa uongozi wa rais wa zamani Joseph Kabila.Je, ziara hii ina umuhimu gani kwa raia wa DRC na kwanini inazua maswalimengi maswali miongoni mwa raia wa DRC wauishio nje na ndnai ya nchi ? Kujadiki hili, tunauganba na Raphae Bakema, mchambuzi wa siasa za DRC naeneo la Maziwa Makuu, akiwa Goma lakini Profesa Malonga Pacique akiwajijini Kgali. 

Rais wa DRC  Félix Tshisekedi, akiwa na Mfalme wa Ubelgi  Roi Philippe, jijini Brussels Septemba 17 2019
Rais wa DRC Félix Tshisekedi, akiwa na Mfalme wa Ubelgi Roi Philippe, jijini Brussels Septemba 17 2019 REUTERS/Francois Lenoir
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.