Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 12/11 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 12/11 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 12/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Umoja wa Ulaya watoa wito wa "kusitishwa haraka" uhasama kati ya Israeli na Gaza baada ya kuongezeka kwa mvutano mpya
 • Israeli "yapinga" uamuzi wa Umoja wa Ulaya kuhusu hatua ya kuweka alama kwenye "makazi ya Waisraeli" (taarifa)
Afrika

Waziri Mkuu wa Algeria kuachia ngazi kwa ajili ya uchaguzi

media Noureddine Bedoui, anatarajia kuachia ngazi kupisha Uchaguzi Mkuu, Algeria. REUTERS/Zohra Bensemra

Waziri Mkuu wa Algeria Noureddine Bedoui atajiuzulu hivi karibuni, ili kutoa nafasi ya kuwepo kwa Uchaguzi Mku mwaka huu.

Ripoti zinasema kuwa, uamuzi huo umefikiwa kutokana na maandamano dhidi ya serikali ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miezi kadhaa sasa.

Waandamanaji wanamtaka Waziri Mkuu huyo kuondoka madarakani, kama ilivyokuwa kwa rais wa zamani Abdelaziz Bouteflika aliyelazimiwa kujiuzulu mwezi Aprili.

Waandamanaji pia wanataka mabadiliko katika mfumo wa uongozi wa nchini humo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana