Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Somalia: Wabunge wa Jimbo la Jubaland kumchagua rais wao

media Jimbo la Jubaland, Kusini mwa Somalia. Google Maps

Wajumbe wa Bunge la Jimbo la Jubaland, jimbo la kusini mwa Somalia kwenye mpaka na Kenya, wanamchagua rais wao leo Alhamisi (Agosti 22). Uchaguzi huu unafanyika katika mvutano mkubwa na unaweza kuleta kuhatarisha usalama katika eneo nzima la Pembe la Afrika.

Uchaguzi wa urais unafanyika leo katika jimbo la Jubaland nchini Somalia baada ya kuahirishwa mara kadhaa.

Huu ni Uchaguzi ambao umezua wasiwasi mkubwa kati ya nchi jirani ya Kenya na Ethiopia, ambazo zinafuatilia kwa karibu Uchaguzi huo.

Kenya inamuunga mkono rais wa jimbo hilo Ahmed Madobe, achaguliwe tena lakini Ethiopia na serikali ya Mogadishu inamuunga mkono mpinzani.

Uwanja wa ndege na bandari ya Kismayo imefungwa, huku serikali ya Mogadishu ikisema iwapo rais Madobe atatangwa mshindi, haitambua ushindi wake.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana