Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Serikali mpya ya DRC kutangazwa kati ya Agosti 19 na Septemba 7

media Rais wa DRCongo Felix Tshisekedi na mtangulizi wake Joseph Kabila katika sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya, Kinshasa Januari 24, 2019. REUTERS/ Olivia Acland

Wananchi wa DRC watalazimika kuwa watulivu na kusubiri kidogo kabla ya kutangazwa baraza jipya la mawaziri katika utawala wa Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo, chanzo kilio karibu na ofisi ya rais kimesema.

Serikali mpya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu inatarajiwa kutangazwa kati ya Agosti 19 na Septemba 7 mwaka huu, amesema Jeannine Mabunda, Spika wa Bunge la taifa.

Kwa ombi la Rais, Felix Tshisekedi, wabunge wameitishwa kushiriki katika kikao cha cha Jumatatu, Agosti 19 na watajadili kuhusu kuapisha mawaziri hao wapya.

Agosti 14, rais wa DRC alikataa kupitisha timu ya kwanza mawaziri, kwa sababu idadi ya wanawake na vijana haikuwa inatosha.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana