Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Waziri Mkuu wa Tunisia kuwania kiti cha urais

media Waziri Mkuu wa Tunisia Youssef Chahed Novemba 8 Tunis, siku moja kabla ya ziara yake jijini Paris kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza katika nchi yake. FETHI BELAID / AFP

Waziri Mkuu wa Tunisia na kiongozi wa chama cha Tahya Tounes Youssef Chahed, amewasilisha ombi la kuwania urais wakati wa uchaguzi utakaofanyika tarehe 15 mwezi ujao.

Leo Ijumaa imekuwa ni siku ya mwisho kwa wanasiasa kuwasilusha maombi yao na hatua ya Chahed, inamweka katika nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huo.

Hata hivyo, anatarajiwa kupata ushindani kutoka kwa rais wa zamani Moncef Marzouki na Waziri wa Ulinzi Abdelkarim Zbidi.

Mshindi atamrithi rais wa zamani Beji Caid Essebsi, aliyefariki dunia mwezi uliopita akiwa na umru wa miaka 92.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana