Wiki hii Waziri wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Oly Ilunga alitangaza kujiuzulu, baada ya kushtumu uamuzi wa rais Felix Tshekedi kumwondoa kwenye Kamati maalum ya kupambana na janga la ugonjwa hatari wa Ebola, ambao tangu mwezi Agosti mwaka 2018, umesababisha vifio vya watu 1,700 na wengine zaidi ya 200 kuambukizwa katika jimbo la Kivu Kaskazini. Nani atasaidia kumaliza Ebola nchini DRC na juhudi za WHO zinafua dafu ?
Vipindi vingine
-
Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022
Makala haya mJadala wa wiki tunajadili siasa za Kenya kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa rais wa hapo mwakani.15/09/202110:10 -
Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?Mjadala wa wiki na mwandishi wetu Ruben LukumbukaΒ10/09/202110:30 -
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaonaΒ hafurahishwi na ajenda ya serikali ambayo yeye ni mdau mkubwa.25/08/202113:41 -
Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde
Tunajadili siku 100 za serikali ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Sama Lukonde.12/08/202109:55 -
Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu
Kenya inajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Vyama vya siasa vimeanza maandalizi kujiweka tayari kwa uchaguzi huo. Lakini je, vyama hivi vimejiandaaΒ vya kutosha ? Tunajadili.15/07/202110:11