Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Ajali za boti zaendelea kusababisha vifo DRC

media Ajali ya hivi karibu iliyouwa wengi mashariki mwa DRC ilitokea katika Ziwa Kivu (kwenye picha), katika eneo la Kalehe. Photo MONUSCO/Force

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kuzama baada ya boti waliokuwa wanasafiria kuzama katika kisiwa cha Tshegera katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ay Kidemokrasia ya Congo.

Boti hiyo ilikuwa inatokea katika kijiji cha Butumba kwenda katika soko la Kituku mjini Goma, wakati ilipozama.

Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa abiria na mizigo kupita kiasi na hali mbaya ya hewa zimesababisha ajali hiyo.

Mwezi uliopita, watu zaidi ya mia moja walipoteza maisha baada ya boti nyingine kuzama.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana