Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
Afrika

Umoja wa Afrika watishia kuchukua vikwazo dhidi ya jeshi Sudani

media "Tuko tayari kuzungumza, lakini kuanzia sasa hatutaki vurugu," amesema Mohammed Hamdan Dagalo, naibu kiongozi wa Baraza la Jeshi la Mpito (TMC) Khartoum, Aprili 30, 2019. ASHRAF SHAZLY / AFP

Siku chache baada ya muda wa siku 30 kupita bila ya jeshi la Sudan kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia, umoja wa Afrika umeongeza siku 60 kwa jeshi hilo kufanya hivyo au likabiliwe na vikwazo.

Umoja wa Afrika umetishia kusitisha uanachama wa nchi hiyo ikiwa wanajeshi hawatakabidhi madaraka kwa raia, AU imetoa imelitaka jeshi kuondoka madarakani kuanzia April 15.

Katika hatua nyingine kinara wa upinzani nchini Sudan, Sadiq al-Mahdi amewataka waandamanaji kutowachokoza wanajeshi kwa kuwa watakabidhi madaraka hivi karibuni.

Waandamanaji wanaendelea kupiga kambi mbele ya makao makuu ya jeshi licha ya Omar Hassan al-Bashir kuachia ngazi, wakiomba jeshi kukabishi madaraka kwa raia.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana