Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi
 
Martin Fayulu, kiongozi wa upinzani nchini DRC NICOLAS MAETERLINCK / BELGA / AFP

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu, anataka maandamano yafanyike nchini humo kumshinikiza rais Felix Thisekedi aondoke madarakani kama ilivyokuwa nchini Sudan na Algeria.

Fayulu anasema yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2018.

Tunachambua hili kwa kina.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-SIASA-USALAMA

  Martin Fayulu awataka raia kumshinikiza Tshisekedi kuachia ngazi

  Soma zaidi

 • DRC-UN-FAYULU-SIASA

  DRC: Martin Fayulu akosoa kauli ya Antonio Guterres

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-USALAMA

  Fayulu awataka wafuasi wake kuendelea na vita vya kisiasa kwa amani

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-FAYULU-TSHISEKEDI

  Fayulu awasilisha kesi ya kupinga ushindi wa Tshisekedi

  Soma zaidi

 • DRC-LAMUKA-UCHAGUZI-SIASA-USALAMA

  Uchaguzi wa urais DRC: Kambi ya Martin Fayulu yadai imepata ushindi kwa asilimia 61 ya kura

  Soma zaidi

 • DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano

  DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano

  Hatimaye rais wa DRC Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa Waziri Mkuu. Hii inakuja baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya rais huyo na mwenzake wa zamani …

 • Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu

  Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu

  Baada ya kuwa madarakani kwa miaka 20 hatimaye Abdulaziz Bouteflika amelazimika kusalimu amri na kujiuzulu kama rais wa nchi wa Algeria.Nini hatima ya nchi ya Algeria …

 • IS ladhoofishwa Syria na Iraq

  IS ladhoofishwa Syria na Iraq

  Baada ya miezi ya mapigano, kikundi cha jihadi cha Kiislam (IS) kimepoteza Baghuz, kijiji cha mashariki mwa Siria ambacho kinaelezwa kuhitimisha utawala wa kihalifa nchini …

 • Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno

  Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno

  Makala ya mjadala inaangazia mvutano wa kidiplomasi akati yamataifa mawili ya Afrika mashariki,Uganda na Rwanda wakati huu jumuiya ya Afrika mashariki ikiwa  kimya..wachambuzi …

 • Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna

  Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna

  Nchi za Rwanda na Uganda zinashuhudia mvutano wa kidiplomasia. Rwanda inaishutumu Uganda kwa kuwaficha maadui wa serikali yake, suala ambalo Uganda inakanusha vikali.

 • Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela

  Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela

  Venezuela imejikuta katika mzozo wa kisiasa na kiuchumi, kiongozi wa upinzani  Juan Guaido amejiapisha kuwa rais, huku kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro akitishia …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana