Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Kiongozi mpya wa kijeshi Sudan aahidi kurejesha utawala wa kiraia, rais Felix Tshisekedi atembelea mashariki mwa DRC, Likoud yashinda uchaguzi Israeli
Imechapishwa:
Cheza - 20:03
Katika makala hii tumeangazia hatua ya utawala mpya nchini Sudani ya kuanzisha operesheni ya kuwakamata 'wahalifu' na kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono baraza la kijeshi la mpito, ambalo lilimtimua mamlakani rais Omar al-Bashir wiki iliyopita, rais wa DRC Felix Tshisekedi aanza ziara mashariki mwa nchi hiyo, pia Libya, na ushindi wa Netanyahu katika uchaguzi wa wabunge nchini Israeli