Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Maelfu ya watu wanahitaji kuokolewa Msumbiji

media Madhara ya kimbunga nchini Msumbiji na Zimbabwe ©IFRC/Croix-Rouge via Reuters

Maafisa nchini Msumbiji wanasema watu zaidi ya 15,000 wanahitaji kuokelewa haraka na kupewa hifadhi kutoka na kimbuga kilichopewa jina la Idai, kilichosababisha vifo vya mamia ya watu.

Inaarifiwa kuwa watu wengi wamekwama juu ya mapaa ya majengo, na juu ya miti baada ya kupoteza makaazi yao.

Watoa misaada wanasema kuwa mji wa Beira ambao umeharibiwa na kimbuga hicho, kilichosababisha upepo mkali na mafuta, huenda ukawa salama kwa siku mbili au tatu zijazo baada ya maji kuondolewa.

Hasdi sasa idadi ya watu walipoteza maisha nchini Msumbiji ni 300,lakini inahofiwa kuwa huenda idadi ikaongeka.

Kimbunga hiki kimesababisha madhara makubwa katika nchi jirani ya Zimbabwe na Malawi ambako vifo vya watu vimeripotiwa.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana