Pata taarifa kuu
SUDAN-MAANDAMANO-UCHUMI

Maandamano yaendelea Sudan

Wanafunzi wanaosomea Udakttari katika chuo kikuu cha Gadarif, Mashariki mwa Sudan, wameungana na Madaktari wanaogoma, kushinikiza kujiuzulu kwa rais Omar Al Bashir.

Waandamanaji katika mitaa ya Khartoum Desemba 25, 2018.
Waandamanaji katika mitaa ya Khartoum Desemba 25, 2018. REUTERS/Mohamed Nureldin Abdallah
Matangazo ya kibiashara

Madaktari wanawataka wafanyikazi wa taaluma nyingine, kujitokeza na kuwaunga mkono katika mgomo huu.

Raia wa kawaida nao wanaendelea kujitokeza katika barabara za miiji mbalimbali kumtaka rais Bashir aondoke madarakani lakini pia wanalalamikia kupanda kwa bei ya mkate na mafuta.

Rais Bashir, amewaita wanaoandamana kama wasaliti.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.