Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Uchaguzi kusogezwa mbele hadi desemba30 DRC, jeshi la Rwanda na mashambulizi ya Nyungwe, Marekani kuwaondoa wanajeshi wake Syria
Imechapishwa:
Cheza - 20:28
Katika makala ya juma hili, tumeangazia hatua ya tume huru ya uchaguzi nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo CENI kutangaza kusogezwa mbele kwa uchaguzi uliokuwa ufanyike jumapili desemba 23 mwaka huu hadi desemba 30, rais wa Uganda Yoweri Museveni kutangaza kuwa yuko tayari kuzungumza na wapinzani kuhusu mustakhabali wa taifa hilo.Kimataifa tumeangazia uamuzi wa rais Donald Trump ya kuwaondoa wanajeshi wake Syria.