Kuna ripoti kuwa uchaguzi wa DRC huenda ukaahirishwa kutokana na changamoto mbalimbali huku baadhi ya maeneo kampeni zikipigwa marufuku. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.
Vipindi vingine
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu malalamiko ya wasanii wa Kenya kunyimwa mirabaha
Makala haya mtangazaji wa zamu Habari Rafiki Juma hili Ali Bilali anazungumzia kuhusu malalamiko ya wasanii nchini Kenya kuhusu kunyimwa mirabaha, baada ya kukusanywa na mamlaka husika, kinyume na ilivyo nchini Tanzania ambako licha ya changamoto zilizopo angalau wamepiga hatuwa kwenda mbele. Hali ikoje nchini mwako?06/03/202410:04 -
Maoni ya wasilizaji kuhusu siku ya wanawake duniani march 8
Makala haya ni maoni ya waskilizaji kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake dunaini ambayo huadhilishwa kila ifikapo march 8 ya kila mwaka.11/03/202410:02 -
09:47
-
09:59
-
09:35