Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Raia wa Madagascar kumchagua rais wao mpya katika duru ya pili

media Wagombea wawili katika duru ya pili ya uchaguzi wa urais Madagascar, Andry Rajoelina (kulia) na Marc Ravalomanana (kushoto) tarehe 9 Desemba 2018. Mamyrael / AFP

Raia wa Madagascar watapiga kura Jumatano wiki hii ikiwa ni duru ya pili ya uchaguzi utakaowakutanisha marais wawili wa zamani wa taifa hilo, Marc Ravalomanana na Andry Rajoelina.

Inaelezwa kuwa huenda upinzani kati ya wawili hawa ukafufua sintofahamu zaidi ya kisiasa kwenye taifa hilo ikiwa upande mmoja utakataa kutambua matokeo.

Viongozi hawa wanaenda kwenye uchaguzi wa duru ya pili hapo kesho baada ya kuibuka wa kwanza na wapili katika uchaguzi wa duru ya kwanza mwezi Novemba.

Katika duru ya kwanza, Rajoelina alishinda kwa asilimia 39.23 huku mpinzani wake Ravalomanana, akimaliza wa pili kwa asilimia 35.55.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana