Habari RFI-Ki
Changamoto za wavuvi katika maeneo ya maji katika nchi za maziwa makuu zinafanyiwa kazi?
Imechapishwa:
Cheza - 09:45
Makala haya inaangazia changamoto zinazowakabili wavuvi katika eneo la maziwa makuu. Je mamlaka zinachukua hatua gani?Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu