Brenda Nokuzola Fassie , alizaliwa Novemba 3, 1964 huko Langa Cape Town nchini Afrika Kusini, akiwa mtoto wa mwisho wa familia yenye watoto 8,amefanya Muziki kwa kiwango cha juu Barani Afrika na kupata umaarufu Mkubwa Duniani.Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Muziki Ijumaa kuangazia Safari yake ya Kimuziki.
Vipindi vingine
-
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.19/04/202410:40 -
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.18/11/202310:00 -
10:09
-
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio15/09/202310:03 -
Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki
Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma18/08/202309:59