Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 13/11 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 13/11 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 12/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Siasa za mashine za kupigia kura nchini DRC

Siasa za mashine za kupigia kura nchini DRC
 
Tume ya Kitaifa ya Uchaguzi (CENI) imeonyesha mashine ya kupigia kura itakayotumika katika uchaguzi wa Desemba 23. © AFP

Kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, bado kuna mvutano wa matumizi ya mashine za kupigia kura. Wanasiasa wa upinzani na mashirika ya kiraia yanataka zisitumiwe kwa hofu ya wizi wa kura, lakini Tume ya Uchaguzi CENI, inasisitiza kuwa ni sharti zitumiwe. Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wametoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ili mwafaka kupatikana. Tunajadili hili kwa kina.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-UNSC-SIASA-USALAMA

  UNSC yatoa wito wa mazungumzo kuhusu mashine za kupigia kura DRC

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-USALAMA

  Mashine za kupigia kura zaendelea kuzua utata DRC

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-USALAMA

  Wagombea wa upinzani waonya kuhusu ujanja katika uchaguzi DRC

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-UPINZANI-UCHAGUZI

  DRC: Wanasiasa wa upinzani waendelea kukutana kuelekea Uchaguzi Mkuu

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-USALAMA

  Orodha ya mwisho ya wagombea urais yatangazwa DRC

  Soma zaidi

 • Miaka minne ya rais wa Tanzania John Magufuli

  Miaka minne ya rais wa Tanzania John Magufuli

  Rais wa Tanzania John Magufuli, ametimiza miaka minne madarakani, je ni mafaniko gani na changamoto zipi zilizoshuhudiwa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ?

 • Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji

  Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji

  Wananchi wa Msumbiji, wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Ni uchaguzi ambao wachambuzi wa siasa wanasema ni kipimo cha demokrasia …

 • Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi

  Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi

  Mabadiliko ya tabia nchi yamechangia kuyeyuka kwa theluji katika milima mbalimbali Duniani hatua inayoisukuma nchi ya Ufaransa kuja na mradi wa kufanya utafiti ili kuhifadhi …

 • Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano

  Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano

  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,yupo ziarani nchini Ubelgiji. Ni ziara yake ya kwanza barani Ulaya, baada ya kuchaguliwa kuwa …

 • Baraza huru laundwa nchini Sudan

  Baraza huru laundwa nchini Sudan

  Baraza huru kati ya viongozi wa kijeshi na kiraia limeundwa nchini Sudan, kuongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu, je, litatimiza mahitaji ya raia wa Sudan ? Tunajadili.

 • Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda

  Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda

  Karibu katika makala ya mjadala wa wiki.Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya SADC kinataraji kuanza jijini Dar es salaam nchini Tanzania ajenda kuu ni kujadili mkakati …

 • Nani atamaliza Ebola nchini DRC ?

  Nani atamaliza Ebola nchini DRC ?

  Wiki hii Waziri wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Oly Ilunga alitangaza kujiuzulu, baada ya kushtumu uamuzi wa rais Felix Tshekedi kumwondoa kwenye Kamati …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana