sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani
Rais wa DRC Felix Tshisekedi
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/05 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/05 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Dawa za Kulevya zimewaathiri Vijana wenye Ndoto za kufanikiwa Barani Afrika

media  
Siku ya Ufunguzi wa Mkutano wa Dawa za Kulevya jijini Dar es salaam Steven Mumbi/Dawa za Kulevya

Viongozi wa Taasisi za kupambana na Dawa za Kulenya katika Mataifa ya Afrika wamekubaliana kwa kauli moja kuongeza mbinu za kupambana na Uingizwaji na Usambazaji wa dawa hizo ikiwa ni pamoja na kutumia sheria kuwatia hatiani watuhumiwa wa mtandao huo.

Mwandishi wa Rfi Kiswahihili Steven Mumbi aliangazia mkutanio huo kutoka Dar es salaam na kuandaa Taarifa ifuatayo

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana