Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Je, rais Emmerson Mnangagwa ataibadilisha Zimbabwe ?

Imechapishwa:

Rais Emmerson Mnangagwa aliapishwa mwishoni mwa wiki iliyopita kuongoza Zimbabwe kwa miaka mitano ijayo. Mnangangwa ameahidi Zimbabwe mpya, itakayokuwa imara kiuchumi. Je, una matarajio gani kuhusu uongozi wa rais Mnangagwa ? Unaamini kuwa, Zimbabwe itainuka tena na kuwa miongoni mwa mataifa yenye demokrasia na uchumi imara barani Afrika ?

Rais wa  Zimbabwe Emmerson Mnangagwa,akiapishwa tarehe 26 mwezi Agosti mwaka 2018
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa,akiapishwa tarehe 26 mwezi Agosti mwaka 2018 REUTERS/Philimon Bulawayo
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.