sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Rais Joseph Kabila wa DRC asema hatowania urais, Tanzania na Kenya zaadhimisha miaka 20 ya shambulio la kigaidi

Rais Joseph Kabila wa DRC asema hatowania urais, Tanzania na Kenya zaadhimisha miaka 20 ya shambulio la kigaidi
 
Emmanuel Ramazani Shadary akiwapungia mkono wafuasi wa chama chake cha PPRD jijini Kinshasa Agosti 07 2018 mbele ya ofisi za tume ya Uchaguzi CENI. REUTERS/Kenny Katombe

Katika makala hii tumeangazia hatua ya rais wa DRC Joseph Kabila kutangazawaziri wa zamani wa mambo ya ndani,Emmanuel Ramazani Shadary, kupeperusha bendera ya chama tawala cha PPRD katika uchaguzi wa urais wa desemba 23, pia Tanzania na Kenya juma hili ziliadhimisha miaka ishirini ya mashambulizi ya balozi za Marekani jijini Daresalaam na Nairobi, wakati uchaguzi wa Zimbabwe wampa ushindi Emmerson Mnangagwa, na kimataifa hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kuiwekea vikwazo Iran.

Kusikiliza zaidi tembelea tovuti yetu kwa anuani ya :


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-SIASA-USALAMA

  Ramazani Shadary kupeperusha bendera ya PPRD na washirika wake DRC

  Soma zaidi

 • TANZANIA-KENYA-MAREKANI-AL QAEDA-USALAMA

  Shambulizi dhidi ya ubalozi Marekani: Kenya na Tanzania waadhimisha kumbukumbu ya miaka 20

  Soma zaidi

 • ZIMBABWE-SIASA-USALAMA

  Mnangagwa ashinda uchaguzi wa urais Zimbabwe

  Soma zaidi

 • MALI-UCHAGUZI-SIASA

  Matokeo ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais kutangazwa Mali

  Soma zaidi

 • IRAN-MAREKANI-VIKWAZO-UCHUMI

  Rais wa Iran apuuzia mbali vikwazo vya kiuchumi vya Marekani

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana