Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Raia wa Mali waendelea kusubiri duru ya pili ya uchaguzi

media Le président sortant du Mali Ibrahim Boubacar Keïta (à gauche) sera face … Rais wa Mali anayemaliza muda wake Ibrahim Boubacar Keïta (kushoto) atapambana na kiongozi wa upinzani Soumaïla Cissé (kulia) katika duru ya pili ya uchaguzi wa urais Agosti 12, 2018. © STR, ISSOUF SANOGO / AFP

Wapinzani walioshindwa wakati wa uchaguzi wa duru ya kwanza ya kuwania urais nchini Mali, wamekataa kuwaunga mkono wagombea wawili wanaosalia watakaopambana katika duru ya pili siku ya Jumapili.

Wanasiasa hao Aliou Boubacar Diallona Waziri Mkuu wa zamani Cheick Modibo Diarra, wamesema hawawezi kumuunga mkono yeyote katika uchaguzi huo.

Hata hivyo, rais Ibrahim Keita ambaye atakuwa katika kinyang'anyiro cha Jumapili ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kujitokeza kwa wingi sikiu ya Jumapili na kuhimiza amani.

Hata hivyo, mpinzani wake Soumaila Cisse, ameendelea kuonesha wasiwasi kuhusu iwapo uchaguzi wa Jumapili utakuwa huru na haki huku akisisitiza kuwa aliibiwa kura katika duru ya kwanza.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana