Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Marekani na Ufaransa wakaribisha hatua ya Joseph Kabila

media Emmanuel Ramazani Shadary anawasalimu wafuasi wake wakati akiwasili kwenye makao makuu ya Tume ya Uchaguzi huko Kinshasa, Agosti 7 kuwasilisha rasmi fomu yake ya kuwania katika uchaguzi wa urais wa Desemba 23. © REUTERS/Kenny Katombe

Saa chache baada ya kutangazwa mgombea urais atakayepeperusha bendera ya chama tawala DRC, PPRD, na washirika wake, Marekani na Ufaransa wamekaribisha hatua ya rais Joseph kabila ya kutowania katika Uchaguzi Mkuu wa Desemba 23.

Marekani imebaini kwamba hatua ya Kabila itaruhusu mckatao wa kidemokrasia unaendelea kusonga mbele nchini DRC.

"Tunakaribisha taarifa kwamba rais Kabila hatawania muhula wa tatu kulingana na Katiba ya nchi yake," balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley amesema katika taarifa.

Waziri wa zamani wa usalama nchini DRC Emmanuel Ramazani Shadary ndiye atakayepeperusha bendera ya chama tawala wakati wa Uchaguzi wa urais mwezi Desemba.

Hatua hii imekuja baada ya kuteuliwa hapo jana na rais Joseph Kabila, ambaye ni rasmi kuwa hatawania.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana