Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

AU Kuunda bodi ya kushughulikia wahamiaji kutoka Afrika

Imechapishwa:

Viongozi wa umoja wa Afrika wamekubaliana kuunda bodi maalum itakayowasaidia kushughulikia masuala ya uhamiaji ikiwemo kutathimini sera za uhamiaji katika mataifa ya Afrika.Hatua hii imekuja wakati huu waafrika wengi wakienmdelea kukimbilia barani ulaya huku wengi wakizama katika bahari ya mediterania....Je bodi hii itasaidia ufumbuzi wa matatizo yanayosababisha ongezeko wa waafrika wakimbiliao Ulaya?

Wahamiaji kutoka Afrika wamekuwa wakifanya safari hatarishi kuvuka bahari ya Mediterania
Wahamiaji kutoka Afrika wamekuwa wakifanya safari hatarishi kuvuka bahari ya Mediterania REUTERS/Ismail Zitouny
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.