Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Korea Kaskazini yarejea kwenye muungano wa Korea mbili (Seoul)
Afrika

Umoja wa Mataifa waadhimisha siku ya kimataifa ya walinda amani

media Butembo, Kivu Kaskazini, DR Congo. Mnamo tarehe 22 Februari 2018, askari wa MONUSCO waliwatimua mara moja wapiganaji 1000 wa kundi la waasi la Mai Mai 100 katika kijiji cha Vuhovi, mashariki mwa Butembo. ©MONUSCO

Umoja wa Mataifa hivi leo unatimiza miaka 70, tangu ulipoanza kutuma wanajeshi wake wa kulinda amani kusaidia kurejesha amani katika mataifa mbalimbali ya dunia.

Ni siku ya kuwakumbuka wanajeshi wa kulinda amani 3,700 ambao tangu mwaka 1948, huku walinda amani 129 wakipoteza maisha mwaka uliopita.

Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inasalia nchi yenye idadi kubwa ya wanajeshi wa kulinda amani zaidi ya elfu 15, 000 kusaidia kulinda amani hasa Mashariki mwa nchi hiyo.

Umoja wa Mataifa ulianzishwa Oktoba 24, 1945 huko San Francisco nchini Marekani.

Siku hiyo mataifa 50 yalitia saini makubaliano ya kuanzisha chombo hicho kilichokuwa na lengo na kulinda Amani na usalama, kuendeleza ushirikiano baina ya mataifa kwa lengo la kujikwamua kiuchumi na kijamii na kulinda haki za binadamu.

kikosi cha askari wa Umoja wa mataifa nchini DRC MONUSCO) katika shughuli zao za kila siku. CC/MONUSCO/Clara Padovan

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana