Habari RFI-Ki
Miaka saba baada ya kuuawa kiongozi wa kundi la kigaidi Al Qaeda Osama Bin Laden
Imechapishwa:
Cheza - 09:48
Miaka saba imepita tangu kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi Al Qaeda Osama Bin Laden nchini Pakistan baada ya kushambuliwa na makomandoo wa jeshi la Marekani.Je jitihada za kumaliza vitendo vya kigaidi zinafanikiwa?