Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Korea Kaskazini yarejea kwenye muungano wa Korea mbili (Seoul)
Afrika

Siku ya Kimataifa ya wafanyakazi yaadhimishwa

media Kumekua na maandamano ya hapa na pale kufuatia madai ya wafanyakazi kuhusu mshahara wakisema mshahara wanaopewa haikidhi mahitaji yao ya kila siku. Hapa madakari wakiandamana huko Nairobi, Kenya le Februari 13, 2017. REUTERS/Thomas Mukoya

Wafanyakazi kote duniani, wanaadhimisha siku hii kwa kusherehekea mafanikio yao lakini pia kuangazia changamoto zinazowakumba katika maeneo ya kazi.

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi hutumia siku kama ya leo kuwataka waajiri kuwaongezea wafanyakazi mshahara na kuboresha mazingira ya kufanya kazi.

Ni siku ambayo inaadhimishwa pia katika mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.

Siku hii imefika wakati ambapo katika mataifa mengi kunashuhudiwa mfumuko wa bei za chakula, huku mshahara ukisalia pale pale.

Wafanyakazi katika sekta ya umma na ile binafsi wamekua wakilalamikia mishahara duni, huku wakiomba kuongezwa mishahara kutoka na hali ya maisha inayoendelea.

Baadhi ya serikali zimejitahidi kuongeza mshahara, lakini pia kuna zingine ambazo zimejitetea kuwa mshahara wanaolipwa wafanyakazi unatosha.

Kumekua na maandamano ya hapa na pale kufuatia madai ya wafanyakazi kuhusu mshahara wakisema mshahara wanaopewa haikidhi mahitaji yao ya kila siku.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana