Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika
DRC

Monusco yagundua makaburi ya halaiki Djugu, Ituri

media Nyapala, kijiji cha wilaya ya Irokpa, kilishambuliwa na sehemu nyingine kuchomwa moto mnamo mwezi Machi katika Mkoa wa Ituri, DRC. (Picha ya kumbukumbu). RFI/Florence Morice

Katika ripoti iliyochapishwa Jumatano, Aprili 25, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC imesema kuwa imegundua makaburi ya halaiki katika jimbo la Djugu Urtu.

Huu ni ujumbe wa kuchunguza mapigano kati ya jamii mbili hasimu Hema na Lendu, yaliyozuka Desemba 2017, na kusababisha vifo vya watu 263, ikiwa ni pamoja na wanawake 91, huku visa vya uporaji vikiripotiwa katika vijiji 120 na kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika maeneo 5 ya Centre Blukwa na Maze Liba.

Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, wengi wa waathirika ni watu kutoka kundi la Tribal Hemisphere.

Wachunguzi walikuwa katika eneo la tukio tarehe 14 hadi 22 Machi, lakini ripoti yao bado imechelewa, kwani vurugu bado zinaendelea na hali ya wakazi wa vijiji hivyo kuyahama makazi yao inatatiza uchunguzi. Uchunguzi zaidi uko njiani kuanza, afisa mmoja wa polisi ambaye hakutaka kutaja jina lake amesema.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana