Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Korea Kaskazini yarejea kwenye muungano wa Korea mbili (Seoul)
Afrika

Rais Touadera ataka waasi kujiunga katika mchakato wa amani

media Wanajeshi wa kulinda amani kutoka Ureno wakiendesha chambulizi dhidi ya kundi la wanamgambo katika kata ya PK5,wanakoishi Waislamu wengi, Aprili 8, 2018. FLORENT VERGNES / AFP

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin-Archange Touadera ametoa wito kwa makundi ya waasi kuweka silaha chini katika juhudi za kuhimiza amani nchini humo.

Touadera ameuambia Umoja wa Mataifa kuwa, amewaagiza maafisa wa usalama kuja na mbinu za kuwahimiza waasi hao kuacha vita na kuwarudisha kwenye jamii.

Wito huu unakuja wakati huu makundi yenye silaha yakiendelea kuwa tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo na hivi karibuni kulipotiwa kwa makabiliano kati yao na wanajeshi wa kulinda amani.

Machafuko nchini Jamhuri ya Afrika ya kati yamesababisha vifo vya watu wengi na wengine wengi kulazimika kuyahama makazi yao.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana