Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

DRC: tume ya uchaguzi kudhibiti watu waliojiandikisha mara mbili, makamisheni wa IEBC nchini Kenya wajiuzulu, Trump kukutana na Kim Jon Un

DRC: tume ya uchaguzi kudhibiti watu waliojiandikisha mara mbili, makamisheni wa IEBC nchini Kenya wajiuzulu, Trump kukutana na Kim Jon Un
 
Mwenyekiti wa tume huru ya Uchaguzi DRC Corneille Nangaa Yobeluo (g), akitoa ufafanuzi kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa mwaka huu DRC akiwa na mkuu wa Monusco, Daniel Ruiz (kulia), mjini Goma. MONUSCO/Alain Wandimoyi

Makala hii imeangazia hatua ya tume ya uchaguzi nchini jamhuri ya kidemokrasia ya CENI, kuanza kuwashughulikia watu ambao walijiandikisha mara mbili kama wapiga kura,na kuwapeleka mahakamani, lakini pia tamko wa wabunge wa Kivu Kaskazini wakipinga kauli ya rais kabila akiwatuhumu watu wa Jamii wa wanande kule Mashariki mwa DRC, kujiuzulu kwa makamisheni watatu wa tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC wakati kimataifa tumengazia mpango wa rais Trump kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

Karibu kujiunga na mwandishi Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-M23-UN

  Umoja wa Mataifa watoa onyo kali Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

  Soma zaidi

 • KENYA-KUJIUZULU-IEBC

  Makamishena watatu wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya wajiuzulu

  Soma zaidi

 • BURUNDI-HRW-HAKI

  Polisi yaruhusiwa kufanya misako ya usiku bila kibali maalum Burundi

  Soma zaidi

 • MAREKANI-KOREA KASKAZINI-USHIRIKIANO

  Trump atishia kujiondoa kwenye mazungumzo na Kim kama hakuna maendeleo

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana