Habari RFI-Ki
CENI DRC kuwashtaki watu waidi ya kali mbili kwa kujiandikisha mara mbili
Imechapishwa:
Cheza - 09:53
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewafungulia mashtaka watu 267,000 waliobainika kujiandikisha zaidi ya mara moja wakati wa zoezi la kuwasajili wapiganaji kura mwaka uliopita, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.