Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Familia ya rais wa zamani Baré Maïnassara: Tunataka kujua ukweli

media Rais wa zamani wa Nigeria Ibrahim Baré Maïnassara, ambaye aliuawa mnamo mwezi Aprili 1999, hapo alikua katika maombi baada ya uchaguzi wake Julai 7, 1996. ISSOUF SANOGO / AFP

Familia ya rais wa zamani wa Niger Ibrahim Baré Maïnassara, aliyeuawa tarehe 9 Aprili 1999 katika kambi ya kijeshi na askari wa kikosi chake cha ulinzi, bado wanaomba kujua ukweli kuhusu kifo cha rais huyo.

Miaka kumi na tisa baada ya kifo cha rais Ibrahim Bare Mainassar, familia yake bado inasubiri kujua waliohusika na mauaji hayo.

Mnamo mwezi Oktoba 2015, Mahakama ya ECOWAS ilitoa uamuzi kwamba "haki kwa maisha ya rais Ibrahim Baré Maïnassara ilivunjwa".

Mahakama hiyo iliomba serikali ya Niger kulipa fidia kwa familia ya kiongozi huyo wa zamani. Fidi hiyo tayari imetolewa. Lakini hatua moja ya hukumu haijatekelezwa hadi sasa, ambayo ni haki kwa maisha ya kiongozi huyo.

Mwanasheria wa familia, Abdouramane Chaibou, akihojiwa na RFI amesema.kama familia itakua bado haijajua waliohusika na kifo cha rais Ibrahim Bare Mainassara haiwezi kuwa na amani.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana