Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kifo cha Winnie Mandela aliyekuwa mke wa Nelson Mandela, DRC yakataa kushiriki mkutano wa Geneva, Syria hali si shwari

Imechapishwa:

Katika makala ya juma hili tumeangazia kifo cha Winnie Mandela ambaye alikuwa mke wa rais wa kwanza mweuzi nchini Afrika kusini, hali ya usalama yaendelea kuzorota mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo huku serikali ya nchi ikiendelea na msimamo wake wa kutoshiriki katika mkutano wa Geneva kuhusu haki za binadamu, na mgomo wa wafanyakazi wa reli nchini Ufaransa, na mambo mengine 

Baadhi ya watu waliojumuika mbele ya makazi ya Winnie Mandela mjini Soweto, Afrika kusini April 03 2018.
Baadhi ya watu waliojumuika mbele ya makazi ya Winnie Mandela mjini Soweto, Afrika kusini April 03 2018. REUTERS/James Oatway
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.