Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Tume ya umoja wa mataifa DRC yaongezewa muda wa mwaka mmoja, Kiongozi wa Korea kaskazini azuru China

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia hatua ya baraza la usalama la umoja wa mataifa ya kuiongezea Monusco mwaka mmoja zaidi lengo likiwa ni kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu desemba 23 mwaka huu, lakini pia wakimbizi 1600 wa Burundi waliokuwa Rwanda warejeshwa nyumbani, na kimataifa ziara ya kiongozi wa Korea Kaskazini nchini China.Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka, kusikiliza zaidi

Uwanja wa ndege wa Mavivi, Kivu ya kaskazini, DR Congo : Desemba 8 2017, ndege za UN zikisafirisha askari kuelekea GOMA  baada ya shambulio la waasi wa ADF maeneo ya Semuliki BENI.
Uwanja wa ndege wa Mavivi, Kivu ya kaskazini, DR Congo : Desemba 8 2017, ndege za UN zikisafirisha askari kuelekea GOMA baada ya shambulio la waasi wa ADF maeneo ya Semuliki BENI. Photo MONUSCO/ Anne Herrmann
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.