sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani
Rais wa DRC Felix Tshisekedi
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Tume ya umoja wa mataifa DRC yaongezewa muda wa mwaka mmoja, Kiongozi wa Korea kaskazini azuru China

Tume ya umoja wa mataifa DRC yaongezewa muda wa mwaka mmoja, Kiongozi wa Korea kaskazini azuru China
 
Uwanja wa ndege wa Mavivi, Kivu ya kaskazini, DR Congo : Desemba 8 2017, ndege za UN zikisafirisha askari kuelekea GOMA baada ya shambulio la waasi wa ADF maeneo ya Semuliki BENI. Photo MONUSCO/ Anne Herrmann

Katika makala hii tumeangazia hatua ya baraza la usalama la umoja wa mataifa ya kuiongezea Monusco mwaka mmoja zaidi lengo likiwa ni kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu desemba 23 mwaka huu, lakini pia wakimbizi 1600 wa Burundi waliokuwa Rwanda warejeshwa nyumbani, na kimataifa ziara ya kiongozi wa Korea Kaskazini nchini China.

Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka, kusikiliza zaidi


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • Mvutano waibuka kati ya DRC na Umoja wa Mataifa

  Soma zaidi

 • WAKIMBIZI-BURUNDI-DRC-RWANDA

  Wakimbizi wa Burundi waliokuwa wanaishi DRC, wakimbilia Rwanda

  Soma zaidi

 • TANZANIA

  Rais wa Tanzania awataka viongozi wa dini kuhuburi maendeleo na sio vinginevyo

  Soma zaidi

 • UFARANSA-NICOLAS SARKOZY

  Ufaransa: Nicolas Sarkozy kupanda kizimbani kujibu tuhuma za rushwa

  Soma zaidi

 • MAREKANI-KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI

  Trump akubali kufanya mazungumzo na Kim Jong Un

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana