Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/04 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/04 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Wakimbizi 57000 wakimbilia Uganda 2018

media Mapigano ya kikabila jimboni Ituri nchini DRC yamesababisha idadi kubwa ya wakimbizi kukimbilia Uganda REUTERS/Stringer

Zaidi ya wakimbizi Elfu hamsini na saba wamekimbilia nchini Uganda mwaka huu baada ya kushuhudia machafuko ya kikabila katika jimbo la Ituri kaskazini mashariki mwa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo,kulingana na shirika la Umoja wa mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR.

Idadi ya wakimbizi wa mwaka huu inapita wakimbizi 44,000 ambao walifanya safari kama hiyo katika kipindi cha mwaka 2017 kwa mujibu wa msemaji wa UNHCR Babar Baloch.

Wakimbizi wamekuwa wakiingia nchini Uganda kupitia ziwa Albert na kuhatarisha maisha yao mara kadhaa.

Mapigano jimboni Ituri yamehusisha jamii ya Hema na Lendu ambao ni wakulima na wafugaji wenye historia ndefu tangu kuanza kwa uhasama wakigombania ardhi kaskazini mashariki mwa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana