sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura

Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura
 
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley, akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC , Corneille Nangaa, jijini Kinshasa, mwaka 2017 REUTERS/Robert Carrubba

Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo CENI, imepata mitambo ya kieletroniki kuwatambua wapiga kura wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.

Je, mitambo hii itsaidia Uchaguzi huo kuwa huru na haki ? Tunajadili hili na mbunge wa Francois Rubota kutoka muungano unaomuunga mkono rais Joseph Kabila, Majorite Preidentielle, lakini pia Naibu Katibu Mkuu wa chama Kikuu cha upinzani UDPS Reubens Mikindo.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC

  CENI kutangaza kalenda ya uchaguzi mwishoni mwa juma hili

  Soma zaidi

 • DRC, UDPS-CENI-SIASA

  Chama cha UDPS hakina imani na tume ya Uchaguzi DRC

  Soma zaidi

 • DRC-UCHAGUZI

  CENI kuchapisha "kalenda ya kupiga kura" hivi karibuni DRC

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-MAANDAMANO

  DRC: Kanisa Katoliki kuendelea kushinikiza kujiuzulu kwa rais Kabila

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA-MAANDAMANO-CENCO

  Kasisi wa Kanisa Katoliki nchini DRC aliyetekwa aachiwa huru

  Soma zaidi

 • UN-DRC

  Umoja wa Mataifa waitaka CENI kutangaza kalenda ya Uchaguzi Mkuu

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana