Changu Chako, Chako Changu
Historia ya ndoa kwa misingi ya Wakiristo na Waislamu
Imechapishwa:
Cheza - 20:09
Je, unfahamu histortia ya ndoa ? Jumapili hii, tunakuletea historia ya ndoa kwa misingi ya Kikiristo na Kiislamu. Reverend, Canon Jerome Napella atatuelezea kwa upande wa Wakiristo. Yeye ni Kasisi kiongozi wa Kanisa Anglikana, Mtakatifu Nikolao, Ilala jijini Dar es salaam nchini Tanzania. Upande wa Uislamu tutakuwa naye Sheikh Rohani Zubeir Faiz pia kutoka jijini Dar es salaam.