Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Polisi yafanya msako nyumbani kwa marafiki wa Jacob Zuma

media Ndugu kutoka familia ya Gupta, wenye asili ya India, wanashutumiwa na mamlaka ya kupambana na rushwa kutumia urafiki wao na Jacob Zuma ili kujijitajirisha. REUTERS/Mike Hutchings

Polisi ya Afrika Kusini wamefanya msako leo Jumatatu nyumbani kwa ndugu kutoka familia tajiri ya Gupta, marafiki wa Rais Jacob Zuma, kama sehemu ya uchunguzi wa biashara kwa ushirikiano na Rais Zuma.

Watu wawili wamekamatwa wakati wa msako huo mjini Johannesburg, kituo cha cha televisheni ya taifa SABC, kimeripoti.

Ndugu kutoka familia ya Gupta, wenye asili ya India, wanashutumiwa na mamlaka ya kupambana na rushwa kutumia urafiki wao na Jacob Zuma ili kujijitajirisha.

Hata hivyo familia hiyo imefutilia mbali shtma hizo, ikibaini kwamba hazina msingi.

Jana Jumanne chama tawala nchini Afrika Kusini, African National Congress (ANC), kilimtakaRais Jacob zuma atangaze mwenyewe jiuzulu la sivyo atang'olewa madarakani.

Jacob Zuma anatarajia kutoka jibu lake kuhusu kujiuzulu au la leo Jumatano.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana