Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mataifa ya G5 Sahel yasema yako tayari kukabiliana na ugaidi

Imechapishwa:

Mataifa matano yanayounda ukanda wa Sahel Mali, Burkina Faso, Mauritania, Niger na Chad yamekutana Mjini Paris nchini Ufaransa kujadili harakati za kukabiliana na makundi ya kigaidi katika ukanda wa Sahel, Afrika Magharibi.Mwandishi wetu Fredrick Nwaka amewauliza wasikilizaji wetu na wametoa maoni yao ikiwa harakati hizo zitafaulu katika jitihada za kupambana na ugaidi.

Mawaziri wa mambo ya nje kutoka ukanda wa Sahel wakikutana Mjini Paris nchini Ufaransa Januari 16, 2018
Mawaziri wa mambo ya nje kutoka ukanda wa Sahel wakikutana Mjini Paris nchini Ufaransa Januari 16, 2018 Olivier Fourt / RFI
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.