Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mvutano kati ya kanisa katoliki na serikali ya DRC waendelea, upinzani nchini Uganda kupinga marekebisho ya katiba

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia mvutano unaoendelea kushuhudiwa kati ya kanisa katoliki na serikali ya DRCongo tangu polisi kuvamia na kurusha mabomu ya kutoa machozi makanisani mjini Kinshasa juma moja lililopita; mpango wa upinzani wa Uganda kupinga marekebisho ya kipengele kinachohusu umri wa mtu anayetaka kuwania urais, siasa za Kenya, Zimbabwe, na kimataifa kauli ya rais wa Marekani kuhusu Afrika na Haiti, ambayo imezua mijadala kote duniani.

Padre Donatien Nshole, katibu mkuu wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki akitoa ujumbe wa maaskofu kwa serikali.
Padre Donatien Nshole, katibu mkuu wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki akitoa ujumbe wa maaskofu kwa serikali. RFI/Sonia Rolley
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.