Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Cyril Ramaphosa rais mpya wa chama cha ANC nchini Afrika Kusini

Imechapishwa:

Cyril  Ramaphosa, naibu rais wa Afrika Kusini ndio, rais mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini ANC. Baada ya kuchaguliwa ameahidi  kukiiimarisha chama hicho na kupambana na ufisadi. Tunajadili ushindi wake na ahadi alizozitoa.

Rais mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini  Cyril  Ramaphosa.
Rais mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini Cyril Ramaphosa. REUTERS/Siphiwe Sibeko
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.