Mjadala wa Wiki
Cyril Ramaphosa rais mpya wa chama cha ANC nchini Afrika Kusini
Imechapishwa:
Cheza - 15:56
Cyril Ramaphosa, naibu rais wa Afrika Kusini ndio, rais mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini ANC. Baada ya kuchaguliwa ameahidi kukiiimarisha chama hicho na kupambana na ufisadi. Tunajadili ushindi wake na ahadi alizozitoa.