Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wanajeshi wa Umoja wa mataifa kutoka Tanzania wauawa Beni DRC, mvutano wa ndani ya chama cha UDPS, DRC

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia mauaji ya wanajeshi kumi na wanne wa umoja wa mataifa kutoka Tanzania mjini Beni, mashariki mwa Congo, waziri mkuu wa DRC Bruno Tshibala amesema yeye ndiye kiongozi wa chama cha upinzani cha UDPS, mkutano wa viongozi wa nchi5 za Sahel pamoja na suala la Uingereza kujivua uanachama wake katika umoja wa ulaya, ni miongoni mwa mambo mengine.Karibu kusikiliza makala hii na mwandishi Reuben Lukumbuka

Askari wa Tanzanie wakipokea miili ya wenzao waliouawa mjini Beni, nchini DRC. Mjini Dar es Salaam, december 11 2017.
Askari wa Tanzanie wakipokea miili ya wenzao waliouawa mjini Beni, nchini DRC. Mjini Dar es Salaam, december 11 2017. REUTERS/Emmanuel Herman
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.