Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Wanajeshi wa Umoja wa mataifa kutoka Tanzania wauawa Beni DRC, mvutano wa ndani ya chama cha UDPS, DRC
Imechapishwa:
Cheza - 21:34
Katika makala hii tumeangazia mauaji ya wanajeshi kumi na wanne wa umoja wa mataifa kutoka Tanzania mjini Beni, mashariki mwa Congo, waziri mkuu wa DRC Bruno Tshibala amesema yeye ndiye kiongozi wa chama cha upinzani cha UDPS, mkutano wa viongozi wa nchi5 za Sahel pamoja na suala la Uingereza kujivua uanachama wake katika umoja wa ulaya, ni miongoni mwa mambo mengine.Karibu kusikiliza makala hii na mwandishi Reuben Lukumbuka