Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Wanajeshi wa Umoja wa mataifa kutoka Tanzania wauawa Beni DRC, mvutano wa ndani ya chama cha UDPS, DRC

Wanajeshi wa Umoja wa mataifa kutoka Tanzania wauawa Beni DRC, mvutano wa ndani ya chama cha UDPS, DRC
 
Askari wa Tanzanie wakipokea miili ya wenzao waliouawa mjini Beni, nchini DRC. Mjini Dar es Salaam, december 11 2017. REUTERS/Emmanuel Herman

Katika makala hii tumeangazia mauaji ya wanajeshi kumi na wanne wa umoja wa mataifa kutoka Tanzania mjini Beni, mashariki mwa Congo, waziri mkuu wa DRC Bruno Tshibala amesema yeye ndiye kiongozi wa chama cha upinzani cha UDPS, mkutano wa viongozi wa nchi5 za Sahel pamoja na suala la Uingereza kujivua uanachama wake katika umoja wa ulaya, ni miongoni mwa mambo mengine.

Karibu kusikiliza makala hii na mwandishi Reuben Lukumbuka


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-MONUSCO-TANZANIA

  Wanajeshi 15 wa Umoja wa mataifa wauawa nchini DRC

  Soma zaidi

 • DRC-UCHUMI

  Waziri Mkuu wa DRC Bruno Tshibala akabiliwa na shinikizo la kujiuzulu

  Soma zaidi

 • SAHEL-UFARANSA-UNSC-UGAIDI-USALAMA

  Ufaransa yaomba Umoja wa Mataifa kusaidia kikosi cha G5 Sahel

  Soma zaidi

 • BURUNDI-SIASA-USALAMA

  Rais wa Burundi azindua kampeni ya kubadilisha Katiba

  Soma zaidi

 • UINGERZA-EU-USHIRIKIANO

  Theresa May: Raia wa EU wanaendelea kupata haki sawa na Waingereza

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana