Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/10 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/10 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Shambulizi dhidi ya walinda amani laibua mjadala kujihami kwa walinda amani

Na
Shambulizi dhidi ya walinda amani laibua mjadala kujihami kwa walinda amani Miili ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa nchini DRC ikiwasili Dar es salaam AFP

Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa wakilinda amani nchini DRC waliuawa baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF katika eneo la mashariki mwa DRC imepokelewa Dar es Salaam.

Je umefika wakati kwa Umoja wa Mataifa kuvipa mamlaka vikosi vya kulinda amani kukabiliana na makundi ya waasi na nini kifanyike ili kuimarisha amani na usalama katika eneo la Beni na Mashariki mwa Kongo kwa ujumla?

Mengi zaidi na Fredrick Nwaka

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana