Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Idadi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka kila mwaka barani Afrika

Imechapishwa:

Ripoti ya Baraza la kimataifa linalofuatilia wakimbizi la Norway imeeleza kuwa migogoro machafuko na majanga ndiyo huchangia kiasi kikubwa cha watu kuyakimbia makazi yao wakiwa katika nchi zao barani Afrika ambapo nchi za Sudan kusini ,DRC na Nigeria zinatajwa kuwa na idadi kubwa ya watu waliyoyakimbia makazi yao. Hivyo kusabisha watu hao kuishi katika hali duni kutokana na msaada mdogo kutoka kwenye serikali za nchi zao.Je unazizungumziaje jitihada za kukabiliana na matatizo yanayosababisha watu kuyakimbia makazi yao ?Mengi zaidi na Sabina Mpelo....

Wakimbizi wa Sudan Kusini wanaoishi nchini Uganda
Wakimbizi wa Sudan Kusini wanaoishi nchini Uganda REUTERS/Stringer/File photo
Vipindi vingine
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.